clanifos

music infos and entertiment

Tuesday, 28 May 2013

DAVID VILLA KUTOLEWA PAUNI MILLIONI 10 NA SPURS




Mshambuliaji wa Barcelona, David Villa anatakiwa Tottenham kwa Pauni Milioni 10

KLABU ya Tottenham imeanza mazungumzo kwa ajili ya kumsajili kwa Pauni Milioni 10, mshambuliaji wa Barcelona David Villa na pia wamefufua nia yao ya kumsajili mchezaji wanayemtaka kwa muda mrefu, Leandro Damiao.

Andre Villas-Boas aliibua nia ya kumsajili ya Villa mapema mwezi huu na sasa klabu yake nchini Hispania iko tayari kuisikiliza Spurs katika mpango wao wa kumnasa mkali huyo wa mabao kwa ajili ya msimu ujao.
Klabu hiyo ya Nou Camp iko tayari kumuuza mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Hispania ambaye amejikuta katika wakati mgumu kupata namba katika kikosi cha kwanza na anaweza akauzwa kwa Pauni Milioni 12. Chanzo Clan infos
Posted by Unknown at 05:08
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Search This Blog

Translate

Popular Posts

My Blog List

  • G NEWZ
    Picha 10 za mwonekano wa Supermodel Flaviana Matata kwenye Magazine mpya ya #NewAfrican woman - [image: NAW31_CoverFlaviannaColor-6] Tunajivunia kuwa na *Supermodel wa TZ* ambae kazi zake nyingi anazifanyia Marekani kwa sasa, Flaviana… ninacho kipya ...
    10 years ago

About Me

Unknown
View my complete profile

Feedjit

Blog Archive

  • ▼  2013 (39)
    • ►  July (3)
    • ►  June (21)
    • ▼  May (15)
      • HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA KATIKA UZINDUZI WA SHINDAN...
      • BAADA YA KUNENEWA MENGI ADAM MCHOMVU KUUSU KAULI K...
      • TAIFA STARS KUWASILI NCHINI ETHIOPIA NAKUANZA KUNO...
      • MSANII WA KIZAZI KIPYA ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNI...
      • TIMU YA ARSENAL HATARINI KUMKOSA JOVETIC
      • DAVID VILLA KUTOLEWA PAUNI MILLIONI 10 NA SPURS
      • ANGALIA KATIKA BLOGU HII UMUONE MSHINDI WA THE MIC...
      • CCM:IMEDHAMIRIA KUZOA KATA 25
      • WASANII WANAO JIHUSISHA NA MASWALA YA UCHORAJI WAK...
      • BAYERN WAKISHANGILIA UBINGWA LONDON,WAKIONGOZWA NA...
      • KIVUMBI LEO WEMBLEY KATIKA FAINALI YA KOMBE MABIN...
      • RAIS WA ZANZIBER AMTEBELEA SHEHA ALIYE TIWA TINDIKALI
      • LADY JAY DEE AMSHANGAA MWANA FA KWA ALICHOKIFANYA:...
      • Wasanii watakaotumbuiza kwenye show ya ufunguzi wa...
      • blog ipo kwnye matengenezo halaaa up coming blog ...
http://gaxnewz.blogspot.com/#. Awesome Inc. theme. Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.