Miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye ufunguzi huo ni pamoja na
STL wa Kenya, Don Jazzy, D’ Prince na Wande Coal kutoka Nigeria na
kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini.
Pia mchekeshaji wa Kenya Daniel Ndambuki, maarufu kama Churchill
atapanda kwenye stage kuwavunja mbavu watazamaji wa show hiyo katika
nchi 50 barani Afrika. Show hiyo itaonekana live pia kupitia website ya
Big Brother, www.bigbrotherafrica.com
No comments:
Post a Comment