clanifos

music infos and entertiment

Monday, 27 May 2013

ANGALIA KATIKA BLOGU HII UMUONE MSHINDI WA THE MIC VODACOM KING 2013 WAKATI ANAKABIDHIWA GARI




Meneja wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akimkabidhi ufunguo wa gari mshindi wa The Vodacom Mic King 2013, Martin Fundi. Katikati ni Meneja Matukio wa Dar Live, Abdallah Mrisho. Martin Fundi akifungia mlango wa gari lake.

http://clanifos.blogspot.com/...Akiingia.

...Akiliwasha gari lake.

Options
Mashabiki wakiwa wamelizunguka gari la Martin Fundi. Martin Fundi kutoka Kimara usiku wa kuamkia leo ameibuka kidedea katika shindano la The Vodacom Mic King 2013 na kujinyakulia gari jipya aina ya Toyota Funcargo (new model). Shindano hilo lililokuwa likidhaminiwa na Kampuni ya simu ya Vodacom lilidumu kwa takribani miezi sita na usiku wa kuamkia Jana ndiyo limefika tamati
Posted by Unknown at 16:36
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Search This Blog

Translate

Popular Posts

My Blog List

  • G NEWZ
    Picha 10 za mwonekano wa Supermodel Flaviana Matata kwenye Magazine mpya ya #NewAfrican woman - [image: NAW31_CoverFlaviannaColor-6] Tunajivunia kuwa na *Supermodel wa TZ* ambae kazi zake nyingi anazifanyia Marekani kwa sasa, Flaviana… ninacho kipya ...
    10 years ago

About Me

Unknown
View my complete profile

Feedjit

Blog Archive

  • ▼  2013 (39)
    • ►  July (3)
    • ►  June (21)
    • ▼  May (15)
      • HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA KATIKA UZINDUZI WA SHINDAN...
      • BAADA YA KUNENEWA MENGI ADAM MCHOMVU KUUSU KAULI K...
      • TAIFA STARS KUWASILI NCHINI ETHIOPIA NAKUANZA KUNO...
      • MSANII WA KIZAZI KIPYA ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNI...
      • TIMU YA ARSENAL HATARINI KUMKOSA JOVETIC
      • DAVID VILLA KUTOLEWA PAUNI MILLIONI 10 NA SPURS
      • ANGALIA KATIKA BLOGU HII UMUONE MSHINDI WA THE MIC...
      • CCM:IMEDHAMIRIA KUZOA KATA 25
      • WASANII WANAO JIHUSISHA NA MASWALA YA UCHORAJI WAK...
      • BAYERN WAKISHANGILIA UBINGWA LONDON,WAKIONGOZWA NA...
      • KIVUMBI LEO WEMBLEY KATIKA FAINALI YA KOMBE MABIN...
      • RAIS WA ZANZIBER AMTEBELEA SHEHA ALIYE TIWA TINDIKALI
      • LADY JAY DEE AMSHANGAA MWANA FA KWA ALICHOKIFANYA:...
      • Wasanii watakaotumbuiza kwenye show ya ufunguzi wa...
      • blog ipo kwnye matengenezo halaaa up coming blog ...
http://gaxnewz.blogspot.com/#. Awesome Inc. theme. Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.