clanifos
music infos and entertiment
Thursday 6 June 2013
HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA MOROGORO KATIKA MAZISHI YA NGULI WA FREESTYLE MANGWEA
Mwili ukiwasili katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Umati wa watu wakiwa nje ya Uwanja wa Jamhuri wakati wa kutoa heshima za mwisho.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akimfariji mama mzazi wa marehemu, Albert Mangwea.
Waombolezaji walishindwaji kujizuia. akiwemo m2 the p
Mbunge wa Mbeya, mjini Joseph Mbilinyi akitoa heshima za mwisho.
Waombolezaji wakishusha jeneza lililokuwa na mwili wa msanii mahiri wa Hip Hop, marehemu Albert Mangwea, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika mjini Morogoro leo
Jeneza likishushwa kaburini.
Waombolezaji wakishusha jeneza lililokuwa na mwili wa msanii mahiri wa Hip Hop, marehemu Albert Mangwea, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika mjini Morogoro leo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment